Share this Post

dailyvideo

Breaking Nuuuuuuuuuuuuz:Simu yasababisha gari kuteketea kwa moto!


BLOG YA FULLSHANGWEBLOG inashuhudia muda huu Moto unaoteketeza gari aina ya Mercedes Benz ML Class ambalo namba zake hazikupatikana mara moja baada ya moto kuwa mkubwa, Gari hilo lilipoteza mwelekeo na kuingia mtaroni na kushika moto. Ajali hiyo imetokea mchana huu katika barabara ya Kilwa eneo la Tanesco, Mivinjeni. Mmoja wa mashuhuda ambaye alikuwa na gari lingine nyuma ya gari hilo kabla ya ajali, amesema dereva wa gari hilo alikuwa akiongea na simu kabla ya ajali hiyo! TAHADHALI: USITUMIE SIMU UKIWA UNAENDESHA!
Kwa hisani ya Full shangwe blog

Posted by Editor on 14:40. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Breaking Nuuuuuuuuuuuuz:Simu yasababisha gari kuteketea kwa moto!

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery