KICHANGA CHATUPWA KWENYE DAMPO LA TAKATAKA MTAA WA SOWETO JIRANI NA SOKO LA CCM
Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo hilo la Takataka Soweto Mbeya
Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo ktazama kichanga hicho ambapo Mama Mzazi hajafahamika. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.
Picha na Allt Kingo Mbeya Yetu







