Share this Post

dailyvideo

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi, Profesa Ibrahim Lipumba Atakwenda kumjulia hali, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen UlimbokaMwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia), leo saa 10 jioni atakwenda kumtembelea kumjulia hali, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana baada ya kutekwa na kupigwa na watu wasiojulikana.Picha Na Richard Mwaikenda

Posted by Editor on 16:57. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi, Profesa Ibrahim Lipumba Atakwenda kumjulia hali, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery