Share this Post

dailyvideo

Nchimbi asema serikali haihusiki



na Mwandishi wetu
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa serikali haihusiki na wala haijatoa maelekezo ya kumshambulia Ulimboka.
Aliahidi kuwa itafanya uchunguzi wa nguvu kuwanasa wahusika na umeanza na wahusika watafikishwa katika mikono ya dola.
Alisema daktari huyo alitekwa na watu wasiojulikana hadi Mabwepande, ambako alipigwa na kupoteza fahamu na baadaye kuokolewa na msamaria mwema.
Habari na Irene Mark, Betty Kangonga na Shehe Semtawa, Dar na Martin Malela, Dodoma.
Chanzo: Tanzania Daima

Posted by Editor on 15:51. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Nchimbi asema serikali haihusiki

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery