Share this Post

dailyvideo

News Alert: Watu wa sio fahamika wavamia makazi ya watu na kuanza kubomoa nyumba, Msafara wa Rais watupiwa mawe.


Tegeta kumetokea vurugu kati ya wananchi na watu wanaojiita kikundi cha ulinzi, ugomvi huu umetokea baada ya hao wavamizi kuanza kubomua nyumba za wenyeji wakidai wametumwa na mmiliki wa kampuni ya oil com, wakati vurugu hyo ikiendelea msafara wa rais ulipita na baadhi ya watu wakaanza kulirushia gari la rais kikwete mawe lakini kwa bahati nzuri hakuna aliyedhurika, mpaka sasa hali ni shwari na kikosi cha polisi kimeshafika eneo la tukio kwa ajili ya kuimarisha ulinzi!
Chanzo: J2wisdom blog

Posted by Editor on 16:34. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for News Alert: Watu wa sio fahamika wavamia makazi ya watu na kuanza kubomoa nyumba, Msafara wa Rais watupiwa mawe.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery