Share this Post

dailyvideo

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSUANA MALALAMIKO YA MATOKEO YA SOMA LA ISLAMIC KNOWLEDGE.

Serikakali ya Tanzanzia kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo imesema kuwa hatua za uhakiki kuhusu usahihishaji na utoaji matokeo , ilibainika kuwa alama za mwisho katika somo la ‘Islamic Knowledge’ zilizokokotolewa na Mfumo wa kompyuta zilikuwa na tofauti.

Akizungumza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh. Shukuru Kawambwa amesema amesema alama hizo zilitofautiana na alama zilizopatikana kwa kutumia kikokotozi.

Mh. Kawambwa amefafanua kuwa uchunguzi zaidi uliofanyika kwa lengo la kubaini chanzo cha tatizo cha tatizo katika uchakataji wa matokeo hayo kwenye mfumo wa kompyuta ulionesha kuwa uchakachaji uliotumika awali kutoa matokeo ya mwaka 2012  ulitumia jumla ya “paper” tatu kama ilivyokuwa mwaka 2011.

Posted by Editor on 13:30. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSUANA MALALAMIKO YA MATOKEO YA SOMA LA ISLAMIC KNOWLEDGE.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery