Share this Post

dailyvideo

Taswira Za Washiriki wa Shindano la Redds Miss Mara 2012


Washiriki wa shindano la Redds Miss Mara 2012 wakiwa katika picha ya pamoja katika ufukwe wa Ziwa Victoria, mkoani Mara baada ya mazoezi yao jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani Ijumaa, Juni 29, 2012 kuchuana vikali kuwania taji la mkoa wa mara na tiketiketi ya Kushiriki shindano la Redds Kanda ya Ziwa.Picha na Mpigapicha Wetu

Posted by Editor on 17:00. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Taswira Za Washiriki wa Shindano la Redds Miss Mara 2012

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery