Share this Post

dailyvideo

WANAHABARI WAZUIWA NA NDUGU KUZUNGUMZA NA Dk ULIMBOKAAskari wakilinda usalama jana wakati Dk. Ulimboka anafikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbi, kupata matibabu.

Mchana huu sakata limetokea kati ya ndugu wa Dk. Ulimboka na waandishi wa habari waliotakiwa na Ulimboka kufanya nao mkutano, kukukataliwa kuingia chumba cha ICU, WAKIHOFIA USALAMA WAKE.

Licha ya madaktari kuwakubalia wanahabari kuingia lakini ndugu, akiwemo dadake walikataa katakata. Ndipo Madakatari walipoamua kuchukua wao  rekoda na kamera za wanahabari na kwenda kumpiga picha  pamoja na kumrekodi
Chanzo: Michuzi Blog

Posted by Editor on 19:03. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for WANAHABARI WAZUIWA NA NDUGU KUZUNGUMZA NA Dk ULIMBOKA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery