Share this Post

dailyvideo

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala  za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia  (kulia) na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua zabibu wakati alipotembelea shamba  la Tendaji Agro lililopo katika kijiji cha Chikopelo  wilayani Bahi, Dodoma juni 24, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisoma Hotuba ya Bajeti ya Ofisi yake , Bungeni Mjini, Dodoma Juni  25, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  akisalimiana na  Mbunge wa Lindi Mjini , Salum Baluany kwnye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25,2012. Kulia ni Mtoto wa Waziri Mkuu, George Bush. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Posted by Editor on 15:25. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery