Share this Post

dailyvideo

JK Awasili Kutoka Ghana, Afuturu Na watoto Yatima Na Walemavu Ikulu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wan chi hiyo Marehemu John Atta Mills.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamnyange.Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakigawa zawadi kwa watoto yatima na walemavu walohudhuria futari waliyowaandalia ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
                         Picha na Ikulu

Posted by Editor on 16:36. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for JK Awasili Kutoka Ghana, Afuturu Na watoto Yatima Na Walemavu Ikulu

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery