Maandalizi ya Njia ya Mabasi yaendayo kasi katika barabara ya Kawawa
Maandalizi ya ujenzi wa njia ya Mabasi yaendayo kasi waanza kwa kasi katika barabara ya Kawawa rodi jijini Dar kama kamera yetu iliyozinasa greda hizi zikiwajibika leo.
Picha na Mtaa kwa Mtaa Blog







