EAST AFRICAN NEWS

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Y...

10 Nov 2017 | 0 comments | Read more

WATANZANIA WANG'ARA SHINDANO LA MWANDISHI BORA WA SAYANSI NA KILIMO AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Uganda na Mjumbe wa Bodi ya ASARECA, Dr. Ambrose Agona (kushoto), akimkabidhi cheti Mwand...

29 Sep 2017 | 0 comments | Read more
ENTERTAINMENT NEWS

WAZIRI MWAKYEMBE AUDHURIA TAMASHA LA JAMAFEST NCHINI UGANDA

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Ugand...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI (TASUBA) PAMOJA NA SHORT STATURE OF KENYA ZIKIONYESHA MAIGIZO TAMASHA LA JAMAFEST

 Kikundi cha burudani ya Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya kikitoa igizo lake la ku...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

DKT.MWAKYEMBE AMEWAPONGEZA WAJASIRIAMALI WA TANZANIA KWA KUSHIRIKI TAMASHA LA JAMAFEST KAMPALA, UGANDA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Utamaduni, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiangalia ngoma ya kiutamaduni iliy...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

WORLD NEWS

TECHNOLOGY

CONGRESS TO SMART DEVICE MAKERS: YOUR SECURITY SUCKS

Four senators propose the "Internet of Things Cybersecurity Improvement Act,"...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

HUAWEI CAME REALLY CLOSE TO SELLING AS MANY PHONES AS APPLE

Apple sold 41 million iPhones in the second quarter, while Huawei's shipments were a...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

SECRET SERVICE WILL REPORTEDLY TEST DRONE FOR TRUMP SECURITY

The Secret Service is looking at whether unmanned aerial vehicles could be use...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

WHAT APPLE'S EARNINGS TELL US ABOUT THE IPHONE 8

The iPhone 7 and 7 Plus may see it's future sibling sooner than many expected.  S...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more
CELEBRITIES NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | 0 comments| Read more

IMPRESSIVE! BEYONCE LOOKS SLENDER IN LOW-CUT DRESS ON SUSHI DATE IN LA WITH JAY Z

Crazy in love: Beyonce looked absolutely fabulous on a sushi date night with husband Jay Z on Wednesday ...

04 Aug 2017 | 0 comments| Read more

BLOODIED JESSICA BIEL SIZZLES IN STEAMY SEX SCENE WITH HER HUNKY ONSCREEN HUSBAND

Bloody: The gimmick of the show is figuring out why this mother and wife decided to stab a man to death in the first place ...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

Share this Post

SPORTS NEWS

JOSEPH KIMWAGA KUKAA NJE MIEZI MINNE BAADA YA UPASUAJI WA GOTI

WINGA wa Klabu ya Azam FC Joseph Kimwaga akiwa katika chumba cha matibabu katika Hospitali ya Vincent Palloti iliyopo jijini ...

06 Sep 2017 | Read more
HEALTH NEWS

PAMOJA NA UNENE LAKINI HAWEZI ACHA KULA

The Brazilian boy, known only as Misael, was born a healthy 6lb 6oz (2.9kg) But every month since, has gained 6lb (3kg), meaning he str...

29 Sep 2014 | Read more
TOP TEN

Top 10 ‘Breaking Bad’ Moments

Ursula Coyote / AMC 10. The ricin’s fate is revealed For all its discussion over the course of the series, ricin had never been ...

08 May 2014 | Read more
FACTS

WACHINA NOMA SANA

 Ukisikia Wachina balaa sasa hii ni moja wapo, Kiwanda Kimojawapo cha China kijulikanacho kwa jina la LandWind kimeibuka na Kutengene...

25 Nov 2014 | Read more
ENVIRONMENT NEWS

A CLIMATE CHANGE INSPIRED PROJECT LAUNCHES IN DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399 ...

04 Aug 2017 | Read more
FASHION

MH. CATHERINE MAGIGE AZINDUA RASMI DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY

. MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Vijana , Mkoa wa Arusha Catherine Magige  leo amezindua rasmi  duka ...

12 Jan 2015 | Read more
HISTORY

MAKALA FUPI: Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan ajifungua

Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuas...

28 May 2014 | Read more
TRAGEDY NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | Read more

dailyvideo

Mwenyekiti Bavicha ahojiwa polisi kwa saa nne


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha),John Heche
Boniface Meena na Fredy Azzah  MWENYEKITI wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche amehojiwa na polisi kwa saa nne kwa madai kuwa alitoa lugha za matusi dhidi ya Rais Jakaya Kikwete kwa kumwita ombaomba.Taarifa zilizolifika gazeti hili jana zinaeleza kuwa Heche alihojiwa na polisi wa Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya. Anadaiwa kutoa lugha hiyo ya matusi katika mkutano wa hadhara alioufanya Jumamosi iliyopita, Sirari mkoani Mara. 
Ilielezwa kuwa baada ya mkutano huo uliofanyika kwenye Viwanja vya Sirari kumalizika, Heche alipigiwa simu na polisi akitakiwa kwenda kutoa maelezo kuhusu kauli yake hiyo dhidi ya Rais Kikwete. 
Mwenyekiti huyo wa Bavicha aliliambia gazeti hili jana kuwa, "Nilihojiwa jana (juzi) kuanzia saa 11:00 jioni hadi saa 2:30 usiku na polisi wa Kanda Maalumu ya Tarime Rorya."  Aliendelea kusema, “Aliyenihoji ni OC CID wa Wilaya ya Kipolisi Sirari ambaye anadai kuwa, kumwita Rais ombaomba ni lugha ya matusi.” 
Heche alikiri kufanya mkutano huo eneo la Sokoni, Sirari mkoani Mara na akasema alishangaa kupigiwa simu na polisi akiitwa kwenda kutoa maelezo baada ya mkutano huo kumalizika.“Siku hiyo sikwenda kwa kuwa sikuwa na mwanasheria wangu kwa hiyo nikawaambia kuwa ningefika baada ya kuwa naye hivyo jana (juzi) nikaenda,” alisema Heche. 
Alisema siku ya kwanza kufika polisi alikutana na viongozi wa ngazi ya juu wote wa Kanda Maalumu ya Tarime –Rorya, ambao walikuwa wakimsubiri kumhoji. 
Kaimu Kamanda wa Polisi Tarime-Rorya, Sebastian Zacharia alithibitisha kuhojiwa kwa kiongozi huyo wa Chadema na kusema hii ni kutokana na taarifa kwamba alitoa maneno ya kashfa kwa kiongozi wa nchi. 
“Alihojiwa juzi katika kituo cha Sirari na sasa tunakamilisha upelelezi,” alisema Kamanda Zacharia.  Kamanda huyo alisema hivi sasa wanakamilisha upelelezi wa suala hilo kabla ya kupeleka jalada kwenye ofisi ya mwanasheria wa serikali kwa ajili ya hatua zaidi.
 “Siwezi kujua alihojiwa kwa kwa muda gani kwa sababu mahojiano yalifanyika huko Sirari, ila ninachoweza kusema tunamalizia upelelezi kabla ya kupeleka faili kwenye ofisi ya mwanasheria wa serikali kwa hatua zidi,” alisema Zacharia. 
 Kauli ya Kamanda huyo imekuja baada ya OC CID wa Wilaya ya Kipolisi Sirari, George Wilbard aliyemhoji Heche kusema kwamba, hawezi kuzungumzia suala hilo kwa kuwa yeye siyo msemaji wa polisi kwenye Kanda hiyo. 

Posted by Editor on 13:10. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Mwenyekiti Bavicha ahojiwa polisi kwa saa nne

Post a Comment

Photo Gallery

Designed by Solaranlagen | with the help of Bed In A Bag and Lawyers