Share this Post

dailyvideo

Picha Mbalimbali Za Mfanyabiashara Maarufu Nchini Papaa Msofe Alivyopandishwa Kizimbani Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Saalam Kwa Tuhuma za Mauaji


 Papaa Musofe akipanda gari ya polisi kurejea mahabusu baada ya kusomewa shitaka la mauaji kwenye mahakama ya Kisutu
 Marijani Abubakar Msofe ‘Papaa Musofe’ (58) akiingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, kwa ajili ya kusomewa mashitaka katika kesi ya mauaji inayomkabili
  Papaa Musofe akipandisha ngazi za mahakama ya Kisutu kwenda kusomewa shitaka la tuhuma za mauaji linanomkabili
 Papaa Musofe akielekea mahakama ya Kisutu kwenda kusomewa shitaka la tuhuma za mauaji linanomkabili
 Papaa Musofe akindikisha jina kwa maofisa wa Polisi mahakamani hapo
Papaa Musofe wa pili kulia, akiwa amekaa kwenye gari ya polisi chini ya uangalizi mkali, tayari kwa safari ya kurudi mahabusu.Picha Zote na Mdau Francis Dande

Posted by Editor on 17:01. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Picha Mbalimbali Za Mfanyabiashara Maarufu Nchini Papaa Msofe Alivyopandishwa Kizimbani Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Saalam Kwa Tuhuma za Mauaji

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery