Taifa Stars wakipiga tizi huko Botswana
Wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiwa mazoezini katika Viwanja vya benki ya Botswana kujiandaa na mechi dhidi ya The Zebras ya Botswana ambayo inatarajiwa kupigwa leo jioni nje kidogo ya Mji wa Gaborone,nchini Botswana.
Picha na Issa Michuzi Blog