Share this Post

dailyvideo

BONGO MOVIE WAKIJIACHIA NDANI YA SERENGETI FIESTA 2012..WEMA ATOA KALI



Beautiful Onyinye akionyesha maujuzi
Aunty Ezekiel nae akionyesha how it's done
 Baba la JB chezea yeye
 Mzuka umepandaaaaaaaaaaaaaa
Ray akikaamua na Steve Nyerere nae kumbe wamooooooooooooo haluuuuuuuuuuuuu
Twende kazi baba Mzuka wa Fiestaaaaaaaa umepanda
Hapa ndo kwenyeweeeeeee  
 Niachieniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mzuka mzukaaaaaaa huooooooooooooo 
Mara pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chini hahahaha
Full mcharukooooooo!!! Halafu staili hii ya kucheza mziki kumgusa makalio mwenzako mboni iko sana Bongo Movie au kuna kamchezo wanafundishana hawa
mmmmmmmmmmmh! bado sana kufika tunapo kwenda 
Kaa pembeni Snura naona Wema kapata shosti mpya wa ukwee'
 Mweeeeeee kazi ipo mwaka huu
Hivi kweli ni vituko vya mastaaa wa kibongo hasa hawa wa Bongo Movie. Najiuliza sipati jibu hii ni kutokana na nini? Maana sijawahi kuona mastaa Kenya au Uganda wakifanya hivi sijui hawa wetu hawajitambui...


Posted by Editor on 13:14. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for BONGO MOVIE WAKIJIACHIA NDANI YA SERENGETI FIESTA 2012..WEMA ATOA KALI

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery