DIAMOND AZUNGUMZA NA KUKANUSHA KUWA NA MAHUSIANO NA MSICHANA WA KIKENYA ALIYETAJWA NA GAZETI LA RISASI JUMAMOSI...!!!
"HAYA NDIO MANENO YANGU KUHUSU STORY YA LEO KWENYE GAZETI LA RISASI KUHUSIANA NA MSICHANA HUYU ANAEDAI ANAMAHUSIANO NA MIMI................"
"Dah! kiukweli nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kua anamahusiano na mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya
Harusi ndani yake... dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo msichana huyo si za kweli kabisa, Nilikutana nae Malindi akiwa kama mmoja ya Waandaaji wa tamasha hilo niLIlokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikua ni mdogo wa Mwenyeji wangu wa Malindi, hivyo nilikua nikimchukulia kama dada yangu kumbe mwenzangu alikua anamipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya, Nimehisi kama Ukarimu wangu kwake na kuwa nae huru kama mmoja ya wenyeji wangu umeniponza, badala yake anatumia picha tulizopiga nae kwa namana nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA HUYO SINA MAHUSIANO NAE YA KIMAPENZI KABISA.... MPENZI WANGU NAAMINI KILA MTU ANAMJUA....."

Source: This is Diamond