Share this Post

dailyvideo

HOttt!!: LULU "ELIZABETH" MICHAEL NA MUONEKANO WAKE WA SASA! MCHEKI HAPA

 Kama kawaida kipima joto si uraiani tu hata sasa bado anawakilisha
Pamba na kupendeza kama kawa, na wakina nanihiii hawa chezi mbali mweee

Lulu akionekana mwenye furaha. Kanenepaje!
Shavu dodo! Don't get it twisted  guys bado yuko jela!!!

Kushoto Lulu anaonekana akitandika kitambaa kablaa ya kuketi ili suruali yake ischafuke. Chezea Lulu wewe superstar wa ukwee'
Dokta Cheni ndio msanii pekee wa filamu ambaye yuko bega kwa bega na familia ya Lulu. Big up kaka Mungu yupo pamoja nawe katika kufanikisha swala la Lulu limalizike hapa akiwa na wakili wa Lulu. Tuzidi kumuombea Lulu.
Picha kwa hisani ya Shakoor Jongo

Posted by Editor on 09:47. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for HOttt!!: LULU "ELIZABETH" MICHAEL NA MUONEKANO WAKE WA SASA! MCHEKI HAPA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery