Share this Post

dailyvideo

MASHINDANO YA TAIFA YA NGUMI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO.

 Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo Hussein Khasim akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu
Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo  Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Posted by Editor on 17:07. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MASHINDANO YA TAIFA YA NGUMI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery