Share this Post

dailyvideo

MSONDO NGOMA YAENDELEA KUKONGA MASHABIKI KWA KUTOA BURUDANI ILALA...!!!

Mpigas Drams wa msondo ngoma Saddy Ally akiwajibika katika onesho la bendi hiyo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa max bar Ilala Bungoni 
Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Shabani Dede na Eddo Sanga
Waimbaji wa Bendi ya Msondo wakitoa burudani kushoto ni Eddo San ga na Juma Katundu 
Wapiga Magitaa wa bendi ya Msondo Ngoma wakifulumusha burudani wakati wa bendi hiyo ilipotumbuiza katika ukum bi wa Max Bar Ilala Bungoni  kushoto ni Abdull Ridhiwani na Zahoro Bangwe 
Picha na www.burudan.blogspot.com

Posted by Editor on 17:35. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MSONDO NGOMA YAENDELEA KUKONGA MASHABIKI KWA KUTOA BURUDANI ILALA...!!!

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery