Share this Post

dailyvideo

TANZANIA NA UJERUMANI ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA USAFIRI WA ANGA.

Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) akijiandaa kusaini Mkataba.
Mhe. Waziri Dkt. Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba.
Mhe. Waziri Dkt. Mwakyembe (Mb) akibadilishana Mkataba na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara baada ya Mkataba huo kusainiwa.
Mhe.Dkt. Mwakyembe (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake mara baada ya Mkataba kusainiwa.
Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania, Berlin.

Posted by Editor on 07:37. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for TANZANIA NA UJERUMANI ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA USAFIRI WA ANGA.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery