Share this Post

dailyvideo

UFUNGUZI WA BUNGE LA TATU LA AFRIKA MASHARIKI KATIKA PICHA



 Rais wa Kenya Mwai Kibaki katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Margaret Zziwa (wa pili kushoto) na Wabunge wa Afrika Mashariki mara baada ya kufungua na kuhutubia Bunge hilo lililoanza wiki iliyopita jijini Nairobi, Kenya.
Rais Mwaki Kibaki akisalimiana na Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Shy-Rose Bhanji.
 Wabunge wengine akiwemo Abdullah Mwinyi naye akisalimiana na Rais Mwai Kibaki wa Kenya
  Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
 Sehemu ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais Kibaki
         Maafisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha ya pamoja na Mbunge Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi.

Posted by Editor on 13:12. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for UFUNGUZI WA BUNGE LA TATU LA AFRIKA MASHARIKI KATIKA PICHA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery