Wanahabari Iringa Kwenye Hali Halisi Wakitoka Kumzika Mwenyekiti Wao Daud Mwangosi
Wanahabari hao wakijiokoa kwa kutokea mlango wa dereva baada ya gari yao kuacha njia huko Tukuyu Mbeya wakitoka kumzika mwenyekiti wo Daudi Mwangosi kijiji cha Busoka Tukuyu
Habari Picha kwa hisani yahttp://francisgodwin.blogspot.com




