Share this Post

dailyvideo

EVANS BUKUKU COMMENDY CLUB ILIVYOBAMBA NDANI YA NYUMBANI LOUNGE JIJINI DAR ES SALAAM


 DOGO PEPE akiwa katika pozi.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT linalosimamiwa na Evans Bukuku, Raymond akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
 Mshereheshaji Taji Liundi akiongoza jahazi ndani Commedy live ambayo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
 Mchekeshaji machachali wa kundi la Vuvuzela, DOGO PEPE akiwavunja mbavu wageni waliojitokeza katika onyesho lao.
 Ilikuwa ni furaha na vicheko kila mahali maana DOGO PEPE alikuja kivingine ka kuwaacha watu hoi.
 Mbunifu wa mavazi Gabriel Mollel aliwakilisha pia na rafiki yake.
 Kila mmoja akionyesha uso wa furaha.
 Mambo ya Live kwenye kideo nayo yaliongozwa na Adamu Gile
 Furahaaaaaaaaa...
 Nyomi iliyohudhuria onyesho hilo.
 Mshereheshaji Taji Liundi akiongea na mmoja ya wageni waliohudhiria.
 Furaha ziliendelea kutawala.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akiimba na dada yake ENIKA.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku, akiwaangalia vijana wake wakifanya makeke yao.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akimgawia zawadi ya wine mmoja wa wageni walioonyesha umahili wako katika kuchekesha.
...Huyu mwanadada alikuwa ni machachali sana katika kuchekesha, akiongea mara baada ya kupokea zawadi yake wa wine.  Picha zote na Cathbert Angelo wa Habari na Matukio blog.

Posted by Editor on 13:58. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for EVANS BUKUKU COMMENDY CLUB ILIVYOBAMBA NDANI YA NYUMBANI LOUNGE JIJINI DAR ES SALAAM

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery