IKULU:Rais Jakaya Kikwete awasili Muscat Oman kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku tatu

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Sultani wa Oman Qaboos
bin Said Al Said wakipokea heshima za viongozi muda muda mfupi baada ya
Rais Kikwete kuwasili jijini Muscat Oman leo mchana kwa ziara
rasmi(State Visit) ya siku tatu nchini Oman.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyeji wake Sultani wa Oman
Qaboos bin Said Al Said katika kasri la Sultani jijini Muscat leo.Picha
na Freddy Maro-IKULU




