JK Akutana Na Wana Diaspora Walioko Kanada
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na kamati ya maandalizi katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Picha na IKULU









