Share this Post

dailyvideo

Katibu Mkuu wa Chama Kipya Cha Alliance For Democratic Change (ADC)Ziarani Mkoani Mwanza


 Waendesha pikipiki wakiongoza mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) Lucas  Kadawi Limbu,alipowasili Jijini Mwanza kwa ziara ya kikazi na baadaye kufanya mkutano wa hadhara katika Kata ya Igoma Jijini hapa.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC),Lucas Kadawi Limbu mwenye suti katikati ,akiwapungia mkono wafuasi wa chama hicho baada ya kukagua kikundi cha ngoma muda mfupi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza mwishoni mwa wiki.Limbu alifanya mkutano wa hadhara na kupokea wanachama wapya katika Kata ya Igoma Jijini hapa.Kushoto ni Kamishin wa chama hicho Kanda ya Ziwa Shaaban Itutu.
Katibu Mkuu wa cha Democratic For Change (ADC) Lucas  Kadawi Limbu akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Igoma Jijini Mwanza. PICHA NA MASHAKA BALTAZAR -MWANZA

Posted by Editor on 19:07. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Katibu Mkuu wa Chama Kipya Cha Alliance For Democratic Change (ADC)Ziarani Mkoani Mwanza

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery