Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na ujumbe wa Kampuni ya Labiofam kutoka Cuba
 |
| Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jose Antonio Fraga Castro (kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya LABIOFAM ya Cuba na Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), Balozi wa Cuba hapa nchini mara baada ya kuzungumza nao kuhusu kampuni hiyo. Kampuni ya Labiofam inajenga kiwanda cha kutengeneza madawa ya kuulia vimelea vya malaria huko Kibaha. |
|
 |
| Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jose Antonio Fraga Castro (kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya LABIOFAM ya Cuba na Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo (wa kwanza kulia), Balozi wa Cuba hapa nchini na wajumbe wengine waliofuatana nao kutoka Cuba . Kushoto ni Bi. Upendo Mwasha, Afisa Mambo ya Nje. |
|

Posted by Editor
on 14:30.
Filed under
worldnews
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0