Share this Post

dailyvideo

Taarifa ya kupata nyufa kwa kioo cha ndege ya ATCL



  ATC kioo chenye crake
 Ndege ya ATCL ikiwa imetua uwanja wa Kigoma baada ya kioo chake kupata nyufa na kulazimika kutua,hii ni tofauti na taarifa zilioneshwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa ndege hiyo iliharibika vibaya sehemu yake ya mbele pamoja na mabawa yake.


Posted by Editor on 09:52. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Taarifa ya kupata nyufa kwa kioo cha ndege ya ATCL

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery