Share this Post

dailyvideo

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA ZIARANI NA KINANA NCHINI CHINA


 Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Profesa  Joram Mukama Biswalo (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto), baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Adis Ababa, akitua kwa muda kwenye Uwanja huo akiwa safarini kwenda China kwa ziara ya kikazi. Wengine kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu, Titus Kamani. (Picha na Bashir Nkoromo).

Posted by Editor on 07:07. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA ZIARANI NA KINANA NCHINI CHINA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery