Share this Post

dailyvideo

TASWIRA:MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI INDIA,AZUNGUMZA NA WANACHAMA MAKAO MAKUU YA KLABU YA SIMBA


  Mashabiki na wachama wa Simba wakilisukuma gari alilopanda Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage wakati alipowasili Makao Makuu ya klabu hiyo jana akitokea India kwa matibabu..
 Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, akizungumza na wanachama  na mashabiki timu hiyo, ambao walifika Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es Salaam, mara baada ya Rage kuwasili  jana  akitokea nchini India kwa matibabu.Picha na Francis Dande

Posted by Editor on 10:34. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for TASWIRA:MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI INDIA,AZUNGUMZA NA WANACHAMA MAKAO MAKUU YA KLABU YA SIMBA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery