Share this Post

dailyvideo

Wema Sepetu Apata Mkataba Mkubwa Awa Staa Mwenye Thamani Kubwa kuliko Wote Tanzania


Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya
Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania

CHANZO DJ SEK BLOG

Posted by Editor on 07:15. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Wema Sepetu Apata Mkataba Mkubwa Awa Staa Mwenye Thamani Kubwa kuliko Wote Tanzania

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery