MVULANA NA MSICHANA WAJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE

Mkasa huu
umetokea huko Congo.
umetokea huko Congo.
Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukumu la
kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa
mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.

Baada ya jitihada zao
za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya
kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto

NA Juma Mtanda Blog