Share this Post

dailyvideo

Naibu Spika Job Ndugai aongoza kikao cha Wabunge wa ACP/EU


Naibu Spika wa Bunge, Mhe Job Ndugai akiongoza
kikao cha Wabunge wa nchi za Afrika, Carribbean na Pacific(ACP) katika Mkutano unaoendelea Brussels, Ubelgiji.Mhe Ndugai ni Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Jamii na Mazingira.Wabunge wa Nchi za ACP zina umoja wao wa kujadili masuala ya pamoja yanayowahusu na yenye maslahi kwa wananchi wao na wana umoja ambao hujadiliana na Wabunge wa Jumuiya ya Ulaya ili kufikia muafaka.Katika Mkutano huo Tanzania inawakilishwa pia na Mhe.Mussa Azzan Zungu na Mhe Dr Mary Mwanjelwa.

Picha na Saidi Yakubu.


Posted by Editor on 13:08. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Naibu Spika Job Ndugai aongoza kikao cha Wabunge wa ACP/EU

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery