MRISHO NGASSA KUJIFUA YANGA!
Mrisho Ngassa aliyesajiliwa na yanga akitokea timu ya simba alikokuwa
anachezea kwa mkopo akitokea AZAM FC, hatimaye leo ameanza mazoezi na
timu yake mpya ya Yanga kwa ajili ya maandalizi ya ligi Kuu Tanzania
Bara inayotarajia kuanza mwezi ujao
NA VIJIMAMBO BLOG
Posted by Editor
on 10:07.
Filed under
newspapers
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0