Share this Post

dailyvideo

Rais Kikwete ahudhuria Mkutano wa 33 wa SADC mjini Lilongwe, Malawi, leo


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na baadhi ya wakuu wa nchi za SADC muda mfupi baada ya ufunguzi wa mkutano wa 33 SADC uliofanyikaKatika ukumbi wa Bingu International Conference centre,mjini Lilongwe Malawi leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Namibia Marko Hausiku,Makamu wa Rais wa Zambia Dr.Guy Scott,Rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC),Rais Dkt.Jakaya Kikwete,Mwenyeji Rais Dkt.Joyce Banda wa Malawi, Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji,Katibu Mtendaji wa SADC anayemaliza muda wake Dkt.Tomaz Salomao, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, na Rais Ian Khama wa Botswana. Chini Rais Kikwete akiongea na mwenyeji wa mkutano huo Rais Dkt. Joyce Banda wa Malawi. 
Picha na  Freddy Maro wa Ikulu

Posted by Editor on 17:37. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Rais Kikwete ahudhuria Mkutano wa 33 wa SADC mjini Lilongwe, Malawi, leo

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery