Saturday, 15 March 2014

WATANZANIA WANNE WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA JOMO KENYATTAWatanzania wanne (mwanaume mmoja na wanawake watatu) wamekamatwa na kilo 2.2 za heroin kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Watanzania hao waliingia nchini Kenya kupitia Namanga na walikuwa njiani kuelekea Hong Kong.
"Tumewakamata Watanzania wanne leo (jana) JKIA. Tumewaweka chini ya uangalizi na tayari wameshatoa vidonge 186 ambavyo tumevifanyia uchunguzi na kudhibitisha kuwa ni heroin," Ngisa aliliambia Shirika la Habari la Uchina kwa simu. Ameongeza kuwa watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani jan Ijumaa.
na mdodosoaji
Dj sek Blog

0 comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text