Share this Post

dailyvideo

FUATILIA HAPA LIVEEEE TUZO ZA KILIMANJARO MLIMANI CITY MDA HUUU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Kwa wewe ambaye utakuwa mbali na TV yako tunakuletea moja kwa moja usiku wa tuzo katika simu au kompyuta yako. Fuatilia kupitia www.kililager.com/KTMA
/
http://www.dj-sek.blogspot.com/2014/05/fuatilia-hapa-liveeee-tuzo-za.html#.U2UKVqKjL64 kuanzia saa moja jioni wakati Jokate na Millard Ayo wakiwahoji mastaa
wanaoingia katika Red Carpet na baadae ikifuatiwa na mahojiano na wale
washindi pia zoezi zima la utoaji tuzo.
 PIA KWA WENYE SMART PHONES TUMIA LINK HIZO HAPO

Kupata app ya KTMA kwenye simu

Bofya moja ya yafuatayo kuenda kwenye App store ya simu yako
iPhone - http://bit.ly/1i4FND6
Android - http://bit.ly/1lKMdbJ
BlackBerry - http://bit.ly/1moEFhQ


Download na Kuinstall MyeventApp kisha ubofye Kilimanjaro Tanzania Music Award 2014

#KTMA2014Posted by Editor on 19:51. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for FUATILIA HAPA LIVEEEE TUZO ZA KILIMANJARO MLIMANI CITY MDA HUUU

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery