Share this Post

dailyvideo

HII KALI SANA: SHUHUDIA HAPA JINSI JINSI FISI ALIVYO JIFICHA NDANI YA TUMBO LA TEMBO KUEPUKA KUKAMATWA NA SIMBA


  Hapa Fisi alikuwa anasikilizia kutoka Tumboni kwa Tembo huku akiangalia kama Simba yupo NjeHapa ilikuwa pata shika
 
Simba akiwa anamsikilizia Fisi atoke
  Alipopata Nafasi tuu... Fisi huyo alichomokaa
 
Ana kwa ana na Simba
 

Simba huyooo anamkimbiza Fisi....  

Na Stratton Hatfield. Katika kujiokoa kwenye hatari yeyote ile si tu watu ambao wanaweza kupata wazo la ajabu la kutenda ilimradi tu kuepukana na mauti, fisi mmoja aliyekuwa katika lishe yake alijikuta katika wakati mgumu baada ya kulazimika kujificha kwenye tumbo la mzogo wa tembo ili kumkwepa simba dume aliyemvamia ghafla.


Fisi huyo aliyaona mauti yaleeeeee, lakini aliona ni heri kukaa ndani ya tumbo la tembo kulikoni kuliwa na simba. picha zifuatazo zinaonyesha namna fisi huyo alivyojificha na baadae kufanikiwa kukimbia baada ya kupata upenyo. Tukio hilo halijatokea mbali bali ni kule Masai Mara, pata uhondo huo.

Posted by Editor on 14:27. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for HII KALI SANA: SHUHUDIA HAPA JINSI JINSI FISI ALIVYO JIFICHA NDANI YA TUMBO LA TEMBO KUEPUKA KUKAMATWA NA SIMBA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery