MANCHESTER CITY NDIYO BINGWA WA LIGI YA ENGLAND, YATWAA UBINGWA WA MWAKAA 2013/2014
STEVEN GERRAD WA LIVERPOOL BAADA YA MPIRI KUISHA AKITOKA NJE KWA MAJONZI MAZITO YA KUKOSA KOMBE KATIKA MSIMU AMBAO TIMU YAKE ILIKUWA KWENYE FOMU YA KUBEBA KOMBE HILO
