Share this Post

dailyvideo

TUKIO KATIKA PICHA : BAADHI YA PICHA MSIBANI KWA MSANII WA BONGO MOVIE RECHO.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo.
Mume wa marehemu Recho, George Saguda,akiwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha mkewe. Picha kwa hisani ya GPL

Posted by Editor on 13:10. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for TUKIO KATIKA PICHA : BAADHI YA PICHA MSIBANI KWA MSANII WA BONGO MOVIE RECHO.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery