Share this Post

dailyvideo

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 14/05/2014.




WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 14/05/2014.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe na Mbeya]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Dar es salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma na Rukwa]:
[Mikoa ya, Lindi na Mtwara]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


ANGALIZO
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
17°C
12:31
12:29
D'SALAAM
31°C
23°C
12:26
12:12
DODOMA
28°C
18°C
12:38
12:28
KIGOMA           
31°C
21°C
01:01
12:53
MBEYA
24°C
10°C
12:51
12:33
MWANZA
29°C
19°C
12:44
12:44
TABORA
31°C
16°C
12:49
12:41
TANGA
31°C
                24°C
12:24
12:16
ZANZIBAR
30°C
25°C
12:26
12:12

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 hadi 40 kwa saa, kutoka kusini katika pwani ya kaskazini na kutoka kusini-mashariki katika pwani ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi hadi makubwa. 
                                              
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 16/05/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 14/05/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.



Posted by Editor on 19:00. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 14/05/2014.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery