Wednesday, 4 June 2014

TUKIO KATIKA PICHA: TAZAMA JINSI MAREHEMU GEORGE TYSON ALIVYO AGWA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB.

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399


Mkuu wa Mkoa Akiwasili Viwanja vya Leaders Club Kuongoza kuaga Mwili wa Marehemu George Tyson
Msanii Ray C Akiwasili Viwanja vya Leaders Club
Mkuu wa Mkoa akimsikiliza Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere
Mwili wa Marehemu ukiwasili Viwanja Vya Leaders Club
Mwili wa Marehemu George Tyson ukipelekwa sehemu ya Kuagia
Wasanii wa Bongo Movie wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu George Tyson
                 
PICHA ZOTE NA DJ SEK BLOG
0 comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text