Share this Post

dailyvideo

MPAKA SASA VIDEO YA DIAMOND "MDOGO MDOGO" IMETAZAMWA NA WATU 216,801


Zimepita siku 10 tangia Mkali wa Bongo Fleva hapa tanzania Diamond Platnumz kuachia Video zake Mbili hewani. Tukiwa tunafuatilia kwa karibu ni Video ipi imeonekana kupendwa na kuangaliwa sana katika mtandao wa Youtube.


Video ya Mdogo mdogo ndiyo kwa sasa inaoyoongoza kwa kuangaliwa na Watu wengi kutoka ndani na Nje ya Tanzania ikiwa imefikisha zaidi ya Views 216,336 huku video ya BumBum
Sek BlogAliyomshirikisha Iyanya ikiwa ina Views 124,014 na zaidi, Sasa hii inaonyesha kuwa video ya mdogomdogo ndiyo inayoongozwa kwa kupendwa na kuangaliwa na watu wengi zaidi kwenye chanell hiyo
Posted by Editor on 10:19. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MPAKA SASA VIDEO YA DIAMOND "MDOGO MDOGO" IMETAZAMWA NA WATU 216,801

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery