Wednesday, 16 July 2014

MTOTO WA KAJALA "PAULINA" ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO WENYE MATATIZO YA UBONGO

Pichani aliyesimama katikati ni mtoto wa msanii wa bongo movie KAJALA MASANJA anajulikana kwa jina la PAULINA na leo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa akaona siku hii muhimu aje kusherehekea na wanafunzi wanaosoma Sinza Maalumu watoto ambao wanamatatizo ya akili. Walikuwepo watu mbalimbali wakiwemo wasanii wa bongo movie na wasanii bongo fleva, endelea kutizama picha hizi nilizokuchukulia mdau wangu nikiwa eneo la tukio.
Hii ni ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo
Msanii wa bongo fleva Quick Rocker nae alikuwepo
Pichani ni walimu wanaowafundisha wanafunzi hao.
Rais wa Bongo Movie akizungumza machache kabla ya kuwatambulisha wageni alioongozana nao shuleni hapo
Add caption
Paulina na mama yake Kajala
Chanzo Dj Choka Blog

0 comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text