Share this Post

dailyvideo

SIKILIZA KWA MAKINI AUDIO: KWENYE KIPINDI CHA XXL KULIVYOTOKEA VURUGU LEO.

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Kwa wasikilizaji wengi wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, July 2 itabaki kwenye kumbukumbu zao baada ya kusikia kitu kisicho cha kawaida na ambacho hakijawahi kutokea tangu redio za FM zije Tanzania.
Apparently, watangazaji hao akiwemo B12, Adam Mchomvu na DJ Fetty walikuwa wanabishana kuhusu jambo fulani lililowafanya wapoteze uvumilivu na kuanza kushikana na kisha kurushiana makonde. Kwenye kipande hicho cha sauti vinasikika vitu mbalimbali zikiwemo mic za studio vikikurupushwa.
Swali ni Je! Ni kweli watangazaji hao wamegombana ama kuna kitu walikuwa wanakitafuta?

Tupe maoni yako.

Posted by Editor on 20:57. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for SIKILIZA KWA MAKINI AUDIO: KWENYE KIPINDI CHA XXL KULIVYOTOKEA VURUGU LEO.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery