Share this Post

dailyvideo

Swali wadau: Bunge Tanzania laweza kuzuia ufisadi?Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow inazidi kuchukuwa nafasi nchini Tanzania baada ya bunge la nchi hiyo kumtaka mkaguzi mkuu wa serikali na taasisi ya kupambana na rushwa kuchunguza uchotwaji wa shilingi bilioni 200.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kushoto) na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Ludovick Utoh. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kushoto) na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Lodovick Utoh.

Maoni Mbele ya Meza ya Duara inauliza ikiwa upo uwezekano wa bunge la Tanzania kuwa taasisi imara kusimamia fedha za umma na rasilimali za nchi. Je, upo uthubutu na utayarifu huo?
Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman
 DW SWAHILI
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Posted by Editor on 17:46. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Swali wadau: Bunge Tanzania laweza kuzuia ufisadi?

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery