Saturday, 12 July 2014

TUKIO KATIKA PICHA: WEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE


Wema akishukuru baada ya dua.
Diamond akiwa katika dua.
Baadhi ya futari.
Baadhi ya wahudhuriaji wakiendelea kufuturu.
Baadhi ya wahudhuriaji akiwemo meneja wake Diamond, Babu Tale, wakimalizia futari.
Baada ya kufuturu wakibadilisha mawazo.
Wema akiwa na mawifi zake
Wema akiwa na mkwe wake pamoja na shosti yake Aunt Ezekiel.
Wema akideka kwa mkwe wake mama Diamond.
MSANII wa filamu bongo Wema Sepetu amefuturisha nyumbani kwake Kijitonyama jana jioni.

(PICHA NA JAMILA SAID, IMELDA TARIMO, RHODA JOSIAN, MAYASA MARIWATA, SHANI RAMADHANI NA MARIA/GPL)

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

0 comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text