I broke up with my girlfriend two months ago because; I didn't feel she was marriage material.
We had been living together for about a year and this lady was very
dirty, didn’t know how to cook and I thought I was just forcing her to
be a woman.
We
had been living together for about a year and this lady was very dirty,
didn’t know how to cook and I thought I was just forcing her to be a
woman.
We broke up and I threw her out of my home. She left but
called me after about three weeks crying for help. I went to meet her
and she told me that she had no place to stay. She said that she was
staying with her friend but things are not going on well.
I felt sorry for her and invited her to my place for some days till she finds a place to stay.
It
is now a month and she is not showing signs of leaving. In fact she is
changed, she cooks and cleans and she is so loving which was not the
case before.
I’m so confused about letting her in my life again.
Please advise?
Ibra
NEW VISION
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
Magonjwa
ya kuambukizana kupitia kufanya ngono yaani kwa Kiingereza yanaitwa
Sexually Transmitted Infections (STI) yamegawanyika katika makundi
matatu.
Maambukizo hutokea pale majimaji ya mwili kama vile mate, damu,
manii, majimaji ya ukeni na kadhalika ya mtu ambaye tayari ameambukizwa,
yatatangamana na ya mtu ambaye hajaambukizwa.
Kuna aina nyingi ya magonjwa hayo ya STI na yamegawanywa katika makundi makuu matatu kama ifuatavyo:
1. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na usaha au majimaji sehemu za
siri (ukeni na uumeni) ambayo ni kisonono, trikomonas na kandida.
2. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na vidonda sehemu za siri ambayo ni kaswende, pangusa na malengelenge.
3. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na uvimbe sehemu hizo nyeti ambayo ni mitoki, lakini pia pangusa na malengelenge.
Mgonjwa yeyote anaweza kuwa na zaidi ya ugonjwa mmoja wa ngono kwa wakati mmoja.
Kujitokeza kwa dalili za ugonjwa utokanao na kufanya ngono zembe
hutegemea aina ya ugonjwa, jinsi na kinga ya mwili iliyopo kwenye mwili
wa mgonjwa.
Asilimia 10-15 ya wanaume na asilimia 60-70 ya wanawake wenye
kisonono hawaonyeshi dalili yoyote, hivyo basi, ni muhimu kijana
unapoelezwa na mwenzi wako uliyefanyanaye tendo la kujamiiana kwamba
ameambukizwa ugonjwa wa ngono usisite kwenda hospitali kupimwa na
ukigundulika upewe matibabu.
Dalili za magonjwa ya ngono:
Dalili za magonjwa ya ngono kwa wanawake zipo nyingi kama vile
kusikia maumivu chini ya kitovu, kutokwa na usaha au majimaji yenye
harufu mbaya sehemu za siri au kuwashwa sehemu hizo za siri.
Wagonjwa pia wanaweza kupata vidonda na vipele sehemu za siri, mdomoni
na sehemu nyingine za mwili au kusikia maumivu wakati wa kujamiiana,
kuvimba mitoki, kuota sundosundo sehemu za siri na mgonjwa kukojoa mara
kwa mara kunakoambatana na muwasho au maumivu.
Dalili kwa wanaume:
Mgonjwa atasikia maumivu makali sehemu za siri wakati wa kukojoa,
atatokwa na usaha au vidonda sehemu za siri au sehemu za mdomoni,
atavimba mitoki au atapata malengelenge au kuota sundosundo ambayo
kitaalamu huitwa warts sehemu za siri.
NINI HUSABABISHA?
Kuna sababu nyingi za mtu kuugua magonjwa haya ya ngono kama vile
mtu kujamiiana bila kutumia kondomu, wanawake au wanaume kujihusisha na
ukahaba au kujamiiana huku ukiwa umelewa, hivyo kutokuwa makini na
hujikuta wakipata ugonjwa wa zinaa kutokana na uzembe wa kuwa na wapenzi
wengi na kujamiiana bila kutumia kondomu, kunyonyana sehemu za siri
huku wakijua au bila kujua kuwa vimelea vya magonjwa ya ngono
vinapatikana kwenye majimaji ya sehemu hizo.
Wengine hupata maradhi haya kutokana na vitendo vya kunyonyana ndimi
bila kujua kuwa baadhi ya vimelea vya magonjwa ya ngono hupatikana
mdomoni.
Jambo la kusisitiza hapa ni kwamba kisonono, kaswende na Virusi Vya
Ukimwi mtu huweza kuvipata kwa kunyonyana ndimi hasa kama mmojawapo ana
maambukizi na mmoja ana michubuko sehemu yoyote mdomoni.
Lakini wasichana hupata maambukizi kutokana na baadhi yao kushindwa
kuwashawishi vijana wakiume kutumia kondomu wakati wa kujamiiana kwa
sababu uoga wa kuachwa, na wengine ni kutokana na tamaa ya kupata pesa
pamoja na vitu vya thamani kama simu za mikononi, magari kutoka kwa watu
wanaofanya nao ngono zembe.
Itaendelea wiki ijayo. GPL
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
KILA
kukicha kunaibuka mambo mapya. Katika ulimwengu wa mapenzi kila siku
lazima uwe mwanafunzi ili uweze kuboresha uhusiano wako. Ukiacha ubongo
wako uingize vitu vipya ni rahisi kubadilika na kuwa wa kisasa zaidi.
Somo
la leo linashangaza kidogo lakini ni vizuri kama tukijifunza. Tumezoea
kusikia kuwa uongo ni kitu kibaya katika maisha ya mwanadamu – ni kweli.
Uongo si mzuri lakini katika uhusiano na mapenzi, wakati mwingine
unanafasi na unaboresha sana uhusiano.
Kwa kawaida uongo unakatazwa kuanzia kwenye mafundisho ya dini na hata katika jamii. Mtu muongo si mwaminifu. Hakubaliki.
Hata mwanasiasa ambaye ni muongo, wapigakura wake hawamchagui tena atakaporudi mara ya pili; kwa nini? Kwa sababu aliwaongopea.
Hiyo ni kweli kabisa, lakini hapa katika Let’s Talk About Love nataka
kukupa kitu kipya kabisa ambacho hujawahi kukipata mahali popote; uongo
mtamu!
Ndiyo! Kuna uongo mzuri tena wenye faida na utakaokusaidia kukuza
upendo wako kwa mwenzi wako. Ni suala la kukubali kujifunza tu. Karibu
darasani tujifunze...
UDANGANYIFU
Rafiki zangu, sitaki kueleweka vibaya katika hili
lakini kama nilivyosema mwanzo, uongo si kitu kizuri kwenye jamii. Mtu
anayedanganya hakubaliki. Kwa tafsiri ya haraka, mwongo si mwaminifu.
Haaminiki kwa sababu ni rahisi kutunga mambo ambayo hayapo na
akayatengenezea mazingira yakaonekana ni ya kweli. Huyu hafai hata
kidogo. Lakini rafiki zangu, katika uhusiano upo uongo ambao unakubalika
kama nilivyosema.
Nasema unakubalika maana una lengo la kutengeneza uhusiano, kuufanya uendelee kuwa na nguvu na si kuupoteza.
GPL
ENDELEA KUSOMA BOFYA HAPA>>>
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Saratani
ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona.
Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya
uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au
‘Endometrial Carcinoma.
Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la
kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na
hata tumbo kuvimba.
Saratani hii siyo kubwa sana hivyo hatutaelezea kwa undani ila endapo
utakuwa na maumivu chini ya tumbo na yanasambaa kulia na kushoto na
upande wa juu, tumbo likiwa linaongezeka ukubwa na siku za hedhi
zinavurugika, basi muone daktari wa kinamama kwa uchunguzi wa kina.
Saratani ya shingo ya uzazi huwapata wanawake walio katika umri wa
kuzaa wenye wapenzi zaidi ya mmoja au ambao mara leo kaolewa na huyu,
anaachana naye anaishi na mwingine, yaani mara kwa mara hana msimamo,
anabadilibadili wanaume, wanawake wanaofanya ngono na wanaume
wasiofanyiwa tohara pia hupatwa na tatizo hili la saratani ya shingo ya
uzazi.
Saratani ya shingo ya uzazi pamoja na kuchangiwa na mambo yote hayo
hapo juu, husababishwa hasa na kirusi kiitwacho ‘Human Papilloma virus’
au kwa kifupi ‘HPV’. Kirusi hiki huenezwa kwa njia ya ngono, mwanaume
huwa hakimuathiri bali yeye hukibeba na kukisambaza kwa wanawake kwa
hiyo mwanamke anayechanganya wanaume hajui wapi atakipata.
Ukubwa wa tatizo
Saratani ya shingo ya kizazi ina tabia ya kusambaa endapo
haitagundulika na tiba haitafanyika mapema. Saratani husambaa katika
kizazi, nyonga hadi katika mapafu. Ikishambulia nyonga, mwanamke
hulalamika maumivu chini ya tumbo.
Saratani hii ina tabia ya kusambaa kwa kasi na endapo hatua za haraka
hazitachukuliwa husababisha kifo kwa mwanamke. Saratani huwa
haiambukizi.
Dalili za awali za saratani ya shingo ya uzazi
Mwanamke mwenye tatizo hili hulalamika maumivu ya tumbo chini ya
kitovu, kutokwa na majimaji yenye harufu ukeni na muwasho mara kwa mara.
Tatizo hili hutibiwa na kujirudia tena mara kwa mara.
Mwanamke hulalamika kwamba ametibiwa sana kwa dawa za kumeza na
kuingia ukeni lakini hapati nafuu. Hupoteza hamu ya tendo la ndoa,
maumivu wakati wa tendo la ndoa na mwishowe hutokwa na damu ukeni baada
ya tendo la ndoa.
Saratani inaposambaa na kushambulia shingo ya uzazi huathiri ukeni na kuumiza njia ya mkojo na kibofu.
Uke huvimba na kuonekana kuziba na mlango wa kizazi au ngozi ya ndani
ya ukeni ikiguswa tu kidogo basi hutokwa na damu kwani huwa laini sana.
Hii ni hatua mbaya na ya mwisho katika saratani inaposambaa.
Uchunguzi
Uchunguzi wa saratani ya shingo ya uzazi hufanyika katika vituo
mbalimbali katika kampeni maalum dhidi ya saratani ya shingo ya uzazi.
Uchunguzi pia hufanyika katika hospitali za mikoa na wilaya katika
kliniki za magonjwa ya kinamama ambapo vipimo mbalimbali hufanyika
mojawapo ikiwa ni kuangalia mlango na shingo ya uzazi.
Kipimo cha Ultrasound pia kitafanyika kuangalia athari katika kizazi.
Majimaji ya ukeni yatapimwa kuangalia maambukizi na uchunguzi wa awali
wa saratani utafanyika.
Endapo mlango wa uzazi utakuwa umeathirika sana, basi kinyama kitatolewa na kupimwa katika maabara kubwa kuthibitisha tatizo.
Ushauri
Ni vema mwanamke yeyote anayejihisi maumivu chini ya tumbo na kutokwa
na uchafu ukeni na muwasho uwepo au usiwepo awahi hospitali kwa
uchunguzi. Waone madaktari wa kinamama kwa uchunguzi sahihi katika
hospitali za mikoa
GPL
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
Awali ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye
anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata mwanamke ambaye anajua
kutafuta pesa tu lakini kwenye ulimwengu wa mapenzi ni limbukeni,
atakusumbua sana.
Lakini pia ukijichanganya ukaoa mwanamke ambaye
ni mtaalam wa mapenzi lakini hajui pesa inavyotafutwa, nalo ni tatizo
licha ya kwamba kwa wengine si tatizo kwani wapo ambao hawataki kuoa
wanawake wenye vipato kutokana na yale yanayosemwa kuwa, baadhi yao
wakijua kutafuta pesa,wanakuwa na kiburi.
Hata hivyo, kwa wanaume
wanapofikia muda wa kuoa kila mmoja huwa na chaguo lake. Kila mtu
atakuwa na vigezo vyake ambavyo vinaweza kutofautiana kutoka kwa mmoja
hadi kwa mwingine.
Tofauti hiyo inakuja hata kwenye suala la tabia na
uzuri. Kwa mfano, wapo ambao wanaangalia sana suala la tabia nzuri na
muonekano mzuri pia.
Endelea kusoma zaidi bofya hapa>>>>
GPL
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
HABARI za leo wasomaji wangu? Kabla ya kuanza mada hii ya leo napenda
kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu kwani ameniwezesha kufika siku
hii.Mada leo inahusu siku za hatari ambazo mwanamke akifanya ngono bila
kinga basi anakuwa katika hatari ya kushika mimba.
Nimeamua kutoa mada hii baada ya kugundua kuwa ongezeko la matukio ya
utoaji mimba na kutupa watoto na hata kuwa na watoto wa mitaani
yanasababishwa zaidi na mimba ambazo hazikutarajiwa.
Mimba nyingine zinaingia kwa sababu mzazi kutokujua siku yake ya hatari ili kujikinga asipate.
Ni muhimu sana kwa mwanamke kujua mzunguko wake wa hedhi, mizunguko
hiyo iko katika makundi makuu matatu ambayo: Mzunguko mfupi wa siku 25
kurudi nyuma, mzunguko wa kawaida wa siku 28 na mzunguko mrefu wa
siku30-35.
Wanawake wengi mzunguko wao huwa ni wa kawaida yaani siku 28 hawa ndiyo leo nitawaongelea zaidi.
Ili kutambua mzunguko wako ni wa siku ngapi unatakiwa kuhesabu
kuanzia siku ya kwanza kuona damu ya hedhi hadi siku ya kwanza ya kuona
damu ya hedhi ya mwezi unaofuata. Kwa mfano ukiona damu ya hedhi tarehe
15 Oktoba basi hiyo ndiyo siku yako ya kwanza.
Kwa mtu mwenye mzunguko huo wa siku 28 siku zake za hatari za kuweza
kushika mimba ni siku ya kumi na nne 14, hivyo kuanzia siku ya 12 hadi
siku ya 16 kama atafanya ngono bila kinga anaweza kushika mimba.
Najua mtu anaweza akajiuliza kama siku ya hatari ni ya 14 sasa kwa nini
akifanya ngono siku ya 12 anaweza akapata mimba?Hii ni kwa sababu mbegu
za kiume zina uwezo wa kudumu kwa masaa 24 hadi
48 baada ya kujamiiana hivyo kama mwanamke atafanya ngono tarehe 12
na yai likatoka tarehe14 bado litakuta zile mbegu zikiwa hai hivyo
zitarutubishwa.
GPL
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Wiki hii kama kawaida nazungumzia mada inayogusa maisha yetu ya
kimapenzi, si unajua bila mapenzi hakuna maisha! Huo ndiyo ukweli,
huwezi kuishi kama jiwe au mti. Raha ya maisha ni kuwa na mpenzi wa
kumpenda na yeye akakupenda kiukweli na siyo kuigiza kama ilivyo kwa
baadhi ya watu.
Kwa wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli
watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama
‘kapepo’ kadogo ndani ya ulimwengu huu mkubwa uliojaa vituko!
Wakati
wengine wakiishi kwa raha katika maisha yao ya kimapenzi, wapo
wanaoishi na wapenzi wao huku mioyo yao ikiwa imesinyaa! Kila siku ni
karaha na vituko vya makusudi kutoka kwa wapenzi wao japo wanawapenda
sana na kuonesha mapenzi yao yote.
Kila siku ni maumivu na simanzi ya moyo isiyojulikana hatima yake.
Lakini
pamoja na karaha, vituko na dharau zinazofanywa na wale tuwapendao,
bado kuna ambao wamejaaliwa mioyo ya uvumilivu. Hawa ni wale wanaoamini
ule msemo usemao, subira yavuta heri. Yaani wanaamini ipo siku wapenzi
wao watabadilika na maisha yatakuwa matamu.
Ni kweli kuna
wanaofanikiwa katika hili lakini wapo ambao uvumilivu wao unapitiliza.
Ndugu zangu, kila kitu kina kikomo, kama umevumilia kwa muda mrefu
lakini ukaona hakuna mabadiliko, uamuzi sahihi ni ‘kusitisha safari’.
Kusoma zaidi Bofya hapa>>>>>
GPL

Tukiendelea na mada yetu kutoka pale tulipoishia wiki iliyopita, suala
la kuchepuka ni la kupiga vita. Anayekuja kwako na vishawishi vya hapa
na pale ndiye adui yako pale mambo yanapogeuka. Ukichepuka utamuumiza
sana mwenzio, kisha nawe utaumia.
Hii ni kwa sababu mateso ya
mwenzi wako hayawezi kukupa ahueni. Kwa walio kwenye mapenzi ya dhati ni
kwamba mwenzi wako anapoteseka, na wewe pia unakuwa kwenye mateso
makali. Maana furaha yake ni yako, maumivu yake yanakugusa pia. Vivyo
hivyo kilichopo kwako naye kinamhusu kwa tafsiri pana.
Juu ya
hapo ni kuwa hisia za maumivu katika mapenzi zina kawaida ya kuhama
kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Unamtesa sana, siku akichukua
uamuzi wa kusema “mwana kwenu kwa heri”, hapo ndipo unashtuka, eti
huamini kinachotokea.
Maombi ya msamaha kutoka
kwako kwenda kwake yanakuwa kwa unyenyekevu wa hali ya juu sana. Kwa
nini mfike huko? Akili yako itumikishe kufanya uamuzi sahihi ambao ni
kumtunza mwenzi wako ambaye anakutunza hivi sasa. Maudhi ya hapa na pale
jiepushe nayo.
Mdharau mwiba guu huota tende! Usione
anachokilalamikia mwenzi wako ni kidogo, mfanye afurahie uwepo wako kila
siku. Usimruhusu akulilie, maana ipo siku utalia wewe. Hakikisha hatoi
machozi ya maumivu, isipokuwa yawe ya furaha. Kinyume chake kuna siku
yatakugeuka.
ASIMULIAYE MVUA IMEMNYESHEA
Maryam Zambi ni
mwanamke mwenye umri wa miaka 46. Ni mama wa watoto wanne, yupo kwenye
ndoa kwa mwaka wa 19 sasa. Aliolewa na Raphael Zambi, 51, mwaka 1995.
Akiwa na watoto wawili, aligundulika kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje
ya ndoa.
KUPATA UHONDO ZAIDI INGIA HAPA>>>
GPL

UJANA una mambo mengi lakini vijana wa zama hizi tumezidisha. Matukio
ndani ya uhusiano ni mengi zaidi ya wakati uliopita. Kukutana na
wanandoa wanaoachana baada ya miaka miwili tu ni jambo la kawaida siku
hizi.
Si ajabu tena kusikia msichana amechumbiwa na amevalishwa
pete kabisa lakini baada ya siku kadhaa anaachwa. Hii ni aibu! Utakuta
msichana hadi anaingia kwenye ndoa, ameshavaa pete za uchumba kutoka kwa
wanaume hata wanne tofauti!
Ni mabadiliko mabaya lakini
yanayosababishwa na mfumo mpya wa maisha ya sasa. Ndugu zangu, lazima
tujifunze mambo muhimu ya kufanya ili uhusiano uwe wenye maana.
Vilio
vya wasichana wengi ni kuhusu kuvalishwa pete au kudumu kwenye uchumba
kwa muda mrefu, lakini ghafla mwanaume anamuacha na kuanzisha uhusiano
na mwingine.
Hebu tujiulize; ni tamaa za
wanaume hao au tatizo lipo kwa wanawake wenyewe? Dada zangu, naomba
mfahamu kuwa, wakati mwingine ninyi ndiyo husababisha matatizo na
hatimaye kuachwa.
Je, nini cha kufanya? Hapa nitakupa mambo muhimu ya
kukaa nayo mbali ili uweze kuingia kwenye hatua inayofuata – ndoa.
Karibuni darasani.
PATA UHONDO ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

KABLA ya yote natanguliza shukrani zangu kwa mwenye miliki ya mbingu na
dunia kwa kuweza kutuamsha salama siku ya leo ikiwa ametuwezesha kuvuka
upande wa pili wa mwaka ambao wenzetu wengi hawakufanikiwa kuiona siku
ya leo ya Mwaka 2014. Kila mmoja ana kila sababu ya kumshukuru Muumba
kwa mapenzi aliyompa ya umri na afya njema.
Kona hii kama ada
kunyoosha tabia za watu wanaojifanya wameshindwa kunyooshwa na wazazi
wao. Huu dada ni muarobaini unatibu magonjwa zaidi ya elfu moja, lazima
la kwako itakuwemo. Kwangu si lazima nikufikie, kuona kwako ndiko
kupona kwako.
Sitaki kubwabwaja sana na kuwanyima uhondo japo
kwa wengine huwa subiri ambayo akiimeza lazima afumbe macho na akifumbua
keshapona huyo. Jamani mashostito wangu ambao hamna wapenzi najua jinsi
gani unavyoitafuta pesa kwa nguvu nyingi na siku moja mnataka kupumzika
na kula raha
.
Najua mnapenda kutumia pesa
zenu kwa kutafuta mwanaume ambaye atakuwa chini ya miliki yenu kwa
kumiliki haki zake zote kwa vile hupendi karaha unataka kula raha baada
ya kuzitafuta kwa muda mrefu au mjane ambaye bado damu inachemka na
anataka kuwa na mtu mwenye staha zake.
Furaha yenu ni kumtafuta
mtu anayejiheshimu hata akiwa amemzidi umri kikubwa heshima. Lakini
baadhi yenu tumekuwa wakitafuta vijana wa kustarehe zao wakati huohuo
tuna bwana mwingine ambaye ndiye anayeingiza kipato.
Kwa vile
kijana uliyenaye umemmiliki kwa asilimia kubwa unakuwa humheshimu kwa
vile kitu unampa na kusahau kitu muhimu kuliko vyote hapati kwako nacho
ni heshima.
Wengine hudiliki kuwatukana wapenzi wao kwa vile tu wana
pesa ambayo huamini ndiyo inayomuweka kwako na kusahau utu ni bora
kuliko mali.
Hapa ndipo paliponifanya nizungumze na ninyi
mashostito wangu mwanzo wa mwaka. Jamani kuwa na pesa bado hakuondoi
uanamke wetu na kufikia hatua ya kuwageuza wanaume tunaowamiliki kuwa
wanawake na sisi ndiyo wanaume.
Shoga hata siku moja masikio
hayazidi kichwa, siku zote bado tutatangulia chini kwa vile ndiyo
maumbile tuliyoumbiwa. Hivyo basi uanamke wetu hautabadilika kwa vile
tuna pesa au tuna uwezo wa kumiliki mwanaume.
Hebu tuuheshimu
uanamke wetu hata tunapozungumza na wapenzi wetu tunao wamilimiki turudi
kwenye uanamke wetu hata tunapozungumza nao turudi chini siyo kuwapanda
juu kwa vile tuna fedha.
Kwa mtindo huo tutakuwa mung’unya kuharibikia ukubwani, kwani ni aibu mtu mzima kuwa mama huruma kwa kubadili wanaume.
Jamani
kama hukutosheka katika ujana wao utatosheka uzeeni? Hebu basi kama
kweli tumeamua kumtafuta mtu ili tutulie naye basi tunatakiwa
kujiheshimu na kumuheshimu uliyemtafuta kwa wewe kuwa mwanamke na yeye
mwanaume.
Namalizia kwa kusema Mungu alituumba kuwa chini ya
wanaume tuna haki ya kujitetea pale panapostahili hata kudai talaka
lakini si kuwadharau wanaume kwa vile tuna uwezo mkubwa wa kifedha na
kukua masikio kuzidi kichwa.
Sifa ya mwanamke ni unyenyekevu kwa kuamini utu ni bora kuliko mali. Mali inaisha lakini utu wa mtu hauishi.
Napenda kumalizia kwa kuwatakia heri ya mwaka 2014, Mungu atupe kila la heri na kutuepusha kila la shari.
Ni mimi Anti Nasra Shangingi Mstaafu.
GPL
AWALI ya yote nimshukuru Mungu kwa kunifanya kuwa miongoni mwa wale
waliobahatika kuuona mwaka huu wa 2014 tukiwa wazima. Nichukue nafasi
hii pia kuwatakia kila la kheri nanyi ili wote tuwe na amani na furaha.
Mpenzi
msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi
wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao si tu
kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha waume/wake zao licha ya
imani waliyokuwa wamejijengea kuwa kwa mapenzi wanayooneshwa hawawezi
kusalitiwa.
Imefika wakati baadhi yetu hatutaki hata kufuatilia
nyendo za wenza wetu tukijua kwamba kufanya hivyo ni kujitafutia presha
za bure.
Kwa kifupi kasi ya wapenzi kusalitiana imekuwa ikiongezeka
kila siku kiasi cha baadhi kuhisi bila kusaliti hawasikii raha. Yaani
wanapatiwa kila kitu na wenza wao lakini bado wanatoka nje.
Unakuta
mwanaume ana mke mzuri anayejua mapenzi na kila kitu lakini bado
mwanaume huyo haridhiki. Pia wapo wanawake ambao wamebahatika kuwapata
wanaume ‘handsome’, wanaojua mapenzi na kujali pia lakini bado tamaa za
usaliti wanakuwa nazo. Ukiuliza kipi kigeni wanachofuata huko nje, jibu
hakuna.
Nilishawahi kufanya uchunguzi huko nyuma kwa kuzungumza
na baadhi ya wanawake walio kwenye ndoa kuhusu hili suala la kusalitiwa.
Wengi walikiri kujua kwamba waume zao wanawasaliti lakini wenyewe
wanadai ni mambo ambayo wakiyafuatilia hawawezi kudumu kwenye ndoa zao.
“Hivi
unadhani ni wakati wa kuamini asilimia zote kwamba husalitiwi? Binafsi
kwa ninavyomjua mume wangu na huu utitiri wa wanawake ‘cheap’ huko
mtaani, najua anachepuka ila kinachonifanya niwe na amani ni kwamba,
ananiheshimu na sijawahi kumfumania.
“Hilo ndilo linalonifanya
niwe mpole ila najua hakosi mwanamke mwingine na nikimfuatilia najua
nitamfuma tu,” alisema mama Faraja wa Kinondoni jijini Dar ambaye ndoa
yake sasa ina miaka 12.
Mwingine ambaye nilibahatika kuzungumza naye alijitambulisha kwa jina la Husna wa Kimara jijini Dar.
Huyu
anaeleza kuwa, amekuwa akishuhudia wanaume wengi anaowajua wakizisaliti
ndoa zao hivyo kwake ni vigumu kuamini kwamba mume wake hamsaliti.
“Huwa
nawaona wanaume ambao sikuwahi kufikiria kuwa wanaweza kuwasaliti wake
zao lakini wanafanya hivyo. Mfano kuna shemeji yangu, mke wa rafiki
yangu, ni mpole sana, mtaratibu na anaonekana asiye na ‘time’ na mademu.
“Mchumba
wake naye alikuwa akimuamini sana kiasi cha wakati mwingine
kuturingishia kuwa amepata mume mtulivu. Huwezi kuamini siku moja
nilimfuma akiingia gesti na kidemu. Nilipigwa na butwaa na hapo ndipo
nilipoamini kwamba hakuna asiyesalitiwa.”
Hao ni wanawake
wachache tu ambao niliongea nao lakini wengi walikiri usaliti upo tena
wanaoongoza kusaliti ni wale ambao wake zao wanawaamini sana. Kuna
wanawake ambao walifikia hatua ya kukiri kwamba eti kwa kuwa wamebaini
waume zao wanawasaliti basi nao wanalipiza kisasi bila kujua kuwa
wanajitafutia matatizo zaidi.
Hii yote inaonesha ni kwa jinsi
gani mapenzi ya sasa usaliti unachukuliwa kama fasheni. Yaani mama
fulani akimuona shoga yake ana ‘kiserengeti boy’ basi naye anatafuta ili
waende sawa. Huu ni ulimbukeni uliopitiliza.
Kipi kifanyike?
Kutokana
na utafiti huu niliofanya ambao naamini hata wewe unakubaliana nao,
kuna kila sababu kila aliye kwenye uhusiano kumuamini mwenza wake kwa
kiwango kinachostahili.
Sisemi umuamini tu hata kama unaona anakuchezea rafu, la hasha! Muamini pale ambapo una sababu ya kufanya hivyo.
Ukiona
dalili za wazi kwamba anakusaliti, ukafuatilia na kugundua ni kweli ana
mtu au watu wengine unaochangia nao penzi, hutakiwi kuvumilia. Mtu huyo
atakuwa hana nafasi kwenye maisha yako hivyo haraka muweke kando.
GPL
MAPENZI ni sanaa yenye wigo mpana sana. Unahitajika uwe mbunifu sana ili uweze kuendelea kuwa bora kwa mpenzi wako kila siku. Lazima uwe mtafutaji wa kitu kipya ili uweze kuwa wa tofauti kwa mwenzako.
Huwezi kuwa yuleyule, ikiwa hivyo maana yake utakinaiwa. Naam! All About Love ni safu nzuri kwako kwa ajili ya kuongeza maarifa na kukufanya uendelee kuwa bora zaidi kwa mpenzi wako.
Ndugu zangu, mapenzi ni furaha. Huna sababu ya kujitafutia huzuni kwenye mapenzi. Ni ukweli ulio wazi kuwa, kung’ang’ania mahali usipopendwa au kulazimisha penzi sehemu usiyotakiwa maana yake kuuweka moyo wako rehani kwa ajili ya mateso baadaye.
Nitafafanua kwa mapana, maeneo ambayo kwa hakika kuendelea kung’ang’ania ni kuweka moyo rehani. Hebu twende tukaone.
WALIO KWENYE NDOA
Asikudanganye mtu, mume/mke wa mtu sumu! Fanya ujanja wako uwezavyo, jifanye muhuni unavyoweza lakini si tabia njema kutoka na mtu ambaye ana mwenza wake tena wa ndoa.
Hebu jiulize, kama ingekuwa ni wewe ungejisikiaje? Ukisikia mkeo anatoka na mwanamke mwingine utajisikiaje? Au pengine umeolewa, halafu ukasikia au kupata uhakika kuwa mume wako anatoka na mwanamke mwingine utajisikiaje? Achana na hilo, unajiweka kwenye hatari kubwa, mwenye mali atakapogundua.GPL
KUSOMA KWA KINA ZAIDI BOFYA HAPA

NI matumaini yangu kwamba mu wazima kabisa na mnaendelea vyema na
majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Mimi mzima, nashukuru Mungu
kanifanya kuwa kati ya wale wanaoendelea kuvuta hewa yake bila malipo
yoyote.
Mpenzi msomaji wangu, tatizo la simu za mkononi kuwa
chanzo cha migongano ndani ya ndoa limekuwa sugu katika siku za hivi
karibuni. Si kitu cha ajabu kusikia wanandoa wameachana, wamenuniana au
hata kupigana kisa kikiwa ni simu ya mkononi.
Mke atakuta sms ambayo
haielewielewi kwenye simu ya mumewe, atashindwa kuvumilia, atauliza na
matokeo yake kuibua zogo. Mume atamsikia mkewe anaongea na simu na
mwanaume atahoji ni nani na akipewa jibu lisiloeleweka, lazima
pachimbike.
Kwa kifupi wengi wamekuwa
wakituhumiana kwa usaliti kwa sababu tu kila mwanandoa anahisi mwenzake
ana mawasiliano yasiyofaa na watu wa jinsia nyingine hata kama katika
uhalisia mawazo hayo hayana ukweli.
GPL
Na GPL
NINAWASALIMU kwa jina la Bwana, hasa wakati huu mamilioni ya Wakristo kote duniani wakijiweka sawa kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo wa Nazareti, zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Sijajua kwa nini nimeamua kuandika mada hii, ila nimejikuta tu nikiandika. Lakini nina sababu ambayo nadhani inatosha kukushawishi hata wewe tukajiuliza kwa pamoja. Nimewahi kukutana sana na swali hili na baadhi ya watu wakilizungumzia kwa namna ya kukebehi, kukejeli, kusifu na kuponda baadhi ya makabila linapofika suala la uhusiano wa kimapenzi au maisha ya ndoa.
“Umeoa Mmachame?, umekwisha, hao watu wabaya sana aisee, hawaoni taabu kukuua warithi mali,” mtu mmoja alimshangaa mwenzake baada ya kumwambia kuwa mwanandoa mwenzake anatokea Kilimanjaro katika kabila hilo.
“Hao Wangoni bwana, wape hela watafikisha, lakini mwanamke hafiki aisee, wahuni sana hao,” mwanamke mmoja alimweleza shoga yake baada ya kumtaarifu kwamba anajiandaa kufunga ndoa na mchumba wake ambaye ni Mngoni kutoka Ruvuma.
“Unaishi na Mhaya? Duh, mtawezana kweli, maana hao jamaa wana majivuno?!” mwingine naye anamshangaa mwenzake.
Kwa jumla, katika jamii yetu, tunalo tatizo hili kwa kiwango kikubwa sana, tukibaguana kwa misingi ya dini, kabila, elimu na vitu vingine chungu mzima. Tumeacha kuzungumzia mapenzi kwa maana ya uhusiano, tumeangukia katika kujadili vitu ambavyo havihusiki kabisa.
Rafiki yangu mmoja aliniambia kwamba alilazimika kuomba ushauri kwa watu wazima na majirani, ili aweze kushusha presha ya mama yake ambaye alikataa katakata mpango wake wa kuoa mwanamke anayetokea katika kabila la Warangi, wanaotokea Kondoa mkoani Dodoma, kwa sababu ambazo hazikumtosheleza hata kidogo.
KUSOMA KWA UNDANI JUU YA HILI INGIA HAPA

Steps
-
1
Always be confident around him. Guys love girls who are confident in themselves.
-
2
Cuddle with him. Bury yourself in him. Make his warmth your warmth.
-
3
Take care of yourself. Don't do things that could compromise the way you look or feel, and always be presentable, but don't overdo it on makeup.
-
4
Make sure you have really good hygiene. Guys are attracted to girls who smell good.
-
5
Take an interest in his friends. They may become your friends.
-
6
Try having deep conversations with him.
If he is a deep thinker, he will react properly and find you more
interesting instead of thinking you are someone who always talks about
the same shallow subjects. Don't always be serious though - remember to
have fun, too.
-
7
Communicate with him; be open to him about anything.
-
8
Trust him in every way, but only if he has earned your trust.
Always be honest with him (and yourself). Never lie to him or keep
secrets from him, but if he breaks this trust, don't keep telling him
everything; you will only get hurt.
-
9
Support him through good and bad days. Just be there for him in any way you can, but remember to give him space to breathe, too.
-
10
Respect him the way you wish to be respected. Don't hurt, abuse, or neglect him in any way. Treat him the way that you would want him to treat you.
-
11
Make time for him and plan activities you will both enjoy.
-
12
Have your own personal time, separate from him when you pursue your own passions.
Don't sacrifice this time or your time with friends for your boyfriend.
It will show him that you are interesting and respect yourself, as well
as giving him time to hang out with his other friends and be a guy.
-
13
Make something for him to remember you by. This will help to stop him getting distracted by other girls.
-
14
Tell him that you love him, and that he is the only one you want. However, do not say this unless you truly mean it. Make sure you stay true to this, and never cheat.
-
15
When saying "good bye", make sure you kiss him, hug him, and whisper in his ear that you love him. Do not, however, behave in a clingy fashion, and once again, only do so if you mean it.
-
16
Communication is the key to all relationships. Tell him how you feel, and ask him how he feels.
-
17
Find an activity he enjoys and do it with him.
Try to take interest in what he likes to do. Nothing is better than
being able to spend time with the one you love while doing the things
you love. However, don't insist on always doing everything with him.
-
18
Let him know where you stand in matters of physical intimacy and how far you will go, so there will be no last minute decisions.
He may, in fact, be relieved not to be pressured into having
intercourse and having to deal with birth control and emotional issues.
-
19
Occasionally make the first move.
Men will not tell you, but they do not always like having to make the
first move. A woman in control will make any man weak in the knees. So
give it a go; it works. It's sexy.
-
20
Always look him in the eyes (but don't just blankly stare at him) when you talk.
If you keep looking away, he'll think you don't feel comfortable around
him. Your body language says a lot, and guys notice everything.
-
21
Compliment him (genuinely).
Don't just tell him he's 'hot'; occasionally call him gorgeous, or
handsome. It makes a welcome change. Or, if you don't feel comfortable
using these words, compliment his hair, or his clothes, or how he
smells. However, never compliment him falsely.
-
22
If you have a problem with
an aspect of your relationship with him, tell him, but make sure not to
come across selfish or demanding or angry; make sure he knows that you
still love him, and want to work on it to make things better. He
will appreciate your effort into making your relationship work. However,
this doesn't mean that you have to nag at him about every little thing;
this will just irritate him, and turn him off.
-
23
Tell him you love him often but not too much, hold his hand, kiss his cheek or give him a quick peck on the lips.
-
24
Just because you're going out, doesn't mean he can't and won't look at other girls.
Its natural for a guy to look at other girls, but don't freak out at
him if he does. Just playfully tell him to not do that anymore and from
then on just be a little more careful when around girls.
-
25
Give him a soft, sweet kiss every once in awhile, just randomly.
This will keep him interested and he'll be with you because he never
knows when you'll kiss him again. If your not ready for something like
that, touch his arm or hand or something that you know will send sparks
down him.
-
1
Become a good listener.
Everyone wants to feel like they're being listened to, but girls care
very deeply about being listened to. It's a validation for them, but
it's also a sign that you want them more than just physically. Here are
some simple, real things you can do right away to become a better
listener:
- Ask questions about the things she says. If you can follow her
conversation, you should be able to ask questions. Show her you’re
listening actively, not passively.
- Don't interrupt her. Interrupting a girl tells her that what you
have to say is more important than what she has to say, which isn't
always the case. Let her finish talking before you speak.
- Listen to the best parts of her.[1]
Everyone has moments, or even whole days, that they'd like to forget.
Forget the times when she was frazzled, or frustrated, or off her game.
Listen to her best moments and prioritize those over her not-so-good
moments. This will make her incredibly happy, and predispose her to do
the same for you.
-
2
Whenever you get something, give back a little.
It doesn't have to be clockwork, but the idea is important. If she
gives you a massage, give her a footrub the next day. If she writes you a
romantic letter on vacation, write her a romantic note and give it to
her when she gets back. You want her to see how much work you're putting into the relationship. Remember, you're a reciprocator, not a parasite.
- Don't be a robot about giving back every time you get something.
That's not very romantic, and it probably won't impress your girl. Try
to appear spontaneous, even if you're planning far in advance. It will
make her a lot happier.
- Don't forget to do things just because. Don't always make something
tit-for-tat. Get her ice-cream before school or after work, and don't
expect anything in return. You'll earn your karma in the long run.
-
3
Earn her trust. Be
worthy of her trust. Guys may not care about it that much, but for
girls, it's a really important issue: Trust helps them fend off guys
until they've proven themselves. She won't truly let you inside until
you show her you can be trusted.
- Do not show romantic interest in her friends. Not even a single one of them. Stay steady as an arrow and clean as a whistle.
- Always tell the truth, even if it hurts. Getting caught in a lie is much, much worse than fessing up to something unpleasant.
- Be there for her when she needs it the most. When all her friends
have deserted her, when she's feeling her awfullest, remind her that
you're there for the long-haul. Send her a note saying how much she
means to you; give her flowers; remind her of all the things that she
does for other people that make her special to you.
- Be as good as your word. This doesn’t just mean keeping a big
promise every now and then; it means doing the dishes or picking up
those socks like you said you would. If you say you're going to do
something, follow through with it.
-
4
Include her with your friends.
Let's face it — she may never be mistaken for "one of the guys." But
you can make an effort to include her into the gang every once in a
while. Girls like feeling included, especially with other guys. It tells
her that you're comfortable with her at your side — even with your boys
— and that you're not embarrassed to her around the people you care
most about.[2]
-
5
Share things about yourself that define you. Open up. Self-disclosure is essential to bonding and has been shown to promote happy relationships.
- Talk with her about your hopes, dreams and fears. Make sure the
depth of these discussions is appropriate for the level of your
relationship. Don't be an open book, but don't be afraid of showing her
some vulnerability. Contrary to what you might think, vulnerability is
sexy in her book,
- Talk about your favorite songs, movies, books, and memories. These
seemingly little things play a big role in forming an emotional
connection. Don't be put off if she doesn't like every single one of
your interests. If she likes you, she'll put up with your Metallica even
if she's a Miley kind of girl.
-
6
Ask her directly. Don't
be afraid to ask her if there's anything you can do to make her happier,
or make the relationship better. Sometimes, honesty is just what the
doctor ordered. Instead of playing games and trying to figure out what's
wrong by fitting together all the tiny puzzle pieces, be blunt and ask
her what she needs and what she wants. If something's wrong or could be
better, she'll tell you. Be prepared to at least think about what she'd
have you do.
-
7
Show her verbal affection from time to time.
Tell her how much she means to you, what she's good at, or even what
you like about her. Say something like "Remember the first time we met? I
fell head over heels for you when I saw you standing there. It's like
everything else seemed to disappear, kind of like tunnel-vision. You
still do that to me." A nicely placed compliment or endearment can make
her heart melt.
- Don't overdo it. A nice compliment or "I love you" goes a long way
every once in a while. But the more you use them, the cheaper they get.
Remember, a diamond is valuable because it's so rare.
-
8
Be a gentleman.
A gentleman will treat a woman with patience, care, and attention,
without making her feel out of place. Unless your girl absolutely
doesn't like being treated differently because she's a different gender,
you can make a lot of headway by taking the time to act like it's 1945.
Here are some easy things you can do to show your girl you're a true
gentleman.
- Walk on the outside of the sidewalk; sleep on the side of the bed
closest to the door. These two gentlemanly gestures are all about
protection — positioning yourself in between harm and your lady. In the
first case, you're protecting your girl from a possible car; in the
second case, you're protecting your girl from a possible intruder.
- Open doors and help the girl get seated when it's easy for you to do
it. The key words here are "easy." You want to be a gentleman, but
going out of your way to rush to the door in order to open it before she
gets there seems like you'd be trying too hard. Try to be as casual as
possible with these gentlemanly maneuvers.
EditPart 2 of 2: Making Her Happy Physically
-
1
Make your enthusiasm contagious.
Everyone loves to be around a positive person. Your demeanor and how
you carry yourself can affect how happy she is both with and without
you.
- Show that you're genuinely glad to see her. If your usual first
reaction isn't a smile, there may be something wrong with the
relationship. Consider hugging her or kissing her when you see her after
a long day.
- If you're just having a bad day, put it aside and grin. Make a self-deprecating joke about Make a Joke about how you always seem to attract trouble. Put a smile on your face and be done with it.
- Laugh at her jokes; everyone likes to think that they're funny. If
they're not funny and you're not good at faking, just smile; a fake
laugh is much worse than no laugh at all.
-
2
Don't treat her like she's an object.
She's not a maid or a cleaning service; she's not your personal cook;
she's not there to simply to satisfy all your carnal desires. Don't do
things that might make her feel any of these things. Don't smack her on
the butt. Look at her when you're talking to her. If she feels like a
person instead of a thing that exists solely for your pleasure, she'll
be much more likely to be happy with you.
-
3
Don’t pressure her romantically.
There’s nothing sexy about reluctant sex. Honestly, you'll get a lot
more sex, and better sex, if she's just as ready as you are.
- If she seems hesitant, back off — even if she doesn't say anything. She may need more time to feel comfortable.
- Don’t put out the wrong vibes. If she senses that you’re impatient,
she may grow distant — or worse yet, do something she regrets.
- Remember that no means no. Even if you’ve been together for years,
it’s her body and she’s under no obligation to share it with you.
- If she's an abuse survivor or something along those lines, that's a
different situation entirely. Get her to talk to someone if she's not
already.
-
4
Stay in shape and pay attention to your grooming.
If you expect your girl to look like a Victoria's Secret model, how do
you think she expects you to look? It's a double standard to expect
girls to look great but to let your own grooming, hygiene, and exercise
regimes to slip.
- Shave every day, unless your girl likes a man with a beard. If you
happen to have a beard, trim it regularly and keep it looking under, not
out of, control.
- Buy some semi-expensive gym clothes. If you buy gym clothes, you'll
feel obligated to work out. If you feel obligated to work out, you won't
skip out on your gym membership after school or at work.
- Smelling odorless is better than smelling like you just stepped out
of an Axe commercial. Girls like guys who smell subtly good. So don't
drench yourself in cologne. Only use so much that she'll be enticed to get closer to you in order to catch a whiff.
-
5
Know when to give her space.
Women are just as turned off by neediness as men. Learn to give her a
little space once in a while, even if it means letting her hang out with
other guys. Trust in her and she'll want to live up to your trust.
- Have a life of your own. A confident, independent person will never lack admirers.
- Don't force-feed a budding relationship with too much affection. This is unhealthy and will raise red flags.
-
6
Find ways to make her laugh.
It all depends on your own sense of humor and what she thinks is funny,
but humor is routinely one of the most attractive things women look for
in men.[3]
Whether it's jokingly poking fun of her ruthlessness, or reliving a
joke you had when you were on spring break, humor is the lifeblood of
happiness for both guys and girls. Don't forget that making fun of
yourself in a joking way is another great way to get her to laugh.
-
7
Learn how to fight.
Knowing how to keep your head in a fight will make it productive instead
of destructive. And as much as you may want to avoid confrontation,
it’s far healthier to fight than to sweep things under the mat. Remember
that if you really messed up, you might want to plan a special date to
apologize.
- Don't just change the subject when a fight is brewing. Forcing the conversation elsewhere will just create resentment.
- If she’s really mad, give her a cooling period, then offer to work
it out. Never forget to come back to the argument later or you will come
off as evasive and/or uninterested.
- Admit when you're wrong. Without humility, you will never learn from your mistakes.
- Don't use an apology as a tool for ending an argument. This is manipulative and unproductive.
-
8
Show her physical affection from time to time.
Physical affection is just as important as verbal affection; it's just a
different breed. While being careful to give your girl enough space and
not appear clingy, it's important to physically show her how much you
care for her. Here are some things that you can do:
- Come up and slowly kiss the back of her neck while hugging her from
behind. This soft, sensuous kiss is sure to get her excited and remind
her of the sweet things you can do.
- Nothing says "I like you" quite like a good foot massage or back massage. Learn how to give good ones and you'll never need another way to apologize!
- Try a six-second kiss. A six-second kiss is a passionate way to help make your love last. Couples who regularly kiss for six seconds or longer last longer than those who don't.[4]