" LINAH" AKIWA ANAJIFUA NA BENDI YAKE ATAKAYOPIGA NAYO JUMAPILI HII USIKU @ NEW MAISHA CLUB,USIKOSE KUONA LIVE BURUDANI NA ALIYOJIFUNZA TOKA ZIARANI MAREKANI !!
LINA AKIIMBA KWA HISIA MAZOEZINI PAMOJA NA BENDI YAKE.
LINAH AKISISITIZA JAMBO KWA WANA BENDI YAKE.
LINAH AKIWA NA MPIGA DRUMS WAKE
MAZOEZI YA KUCHEZA NA BENDI YAKE.
Recho,Keby,Sundi,Asia,Mwasiti-na-Linah-baada-ya-Mzoezi.
MBALI NA BURUDANI "LINAH" PIA KUZINDUA VIDEO YAKE MPYA ALIYOIMBA NA MWANAMUZIKI "AJ UBAO" AISHIYE MAREKANI INAYOITWA "YOU ALL I NEED" ILIYOTENGENEZWA NA KAMPUNI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS YA WASHINGTON DC.NJOO UWAUE NDEGE WA TANO KWA JIWE MOJA KWANI- MWANA FA,DITTO,AMINI, COUNTRY BOY NAO WATATUMBUIZA PAMOJA NA LINAH
Posted by Editor
on 11:35.
Filed under
entertainmentnews
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0