Share this Post

dailyvideo

BREAKING NUUUUUUZ: ASKARI POLISI AJINYONGA


Photo: BREAKING NEWS          BREAKING NEWS. YULE Askari jasiri Donald Julius Mathew mwenye namba za polisi F 3276 aliyejitokeza hazarani na kuwaataja askari wenzake wa mkoani hapa akiwashutumu kwa mambo mbali mbali ya kiwemo ya kushirlikiana na waharifu.  Leo saa 11 Alfajiri mwili wake ulikutwa ukining'inia juu ya mti uliopo jirani na daraja la Shani katikati ya mji wa Morogoro akidaiwa kujinyonga.kabla ya kufika uamuzi huo baadhi ya wananchi wa mkoani hapa jana mchana walimshuhdia Afande huyo ambaye ni maarufu kwa jina la Dunga akilanda landa kwenye mtaa ya mji wa Morogoro huku akionekana kama mtu aliyechnganyikiwa.  Picha zaidi na habari ya tukio hilo tembelea mtandao wa 'www.globalpublisherstz.com' baada ya muda mfupi ujao
YULE Askari jasiri Donald Julius Mathew mwenye namba za polisi F 3276 aliyejitokeza hazarani na kuwaataja askari wenzake wa mkoani hapa akiwashutumu kwa mambo mbali mbali ya kiwemo ya kushirlikiana na waharifu.
Leo saa 11 Alfajiri mwili wake ulikutwa ukining'inia juu ya mti uliopo jirani na daraja la Shani katikati ya mji wa Morogoro akidaiwa kujinyonga.kabla ya kufika uamuzi huo baadhi ya wananchi wa mkoani hapa jana mchana walimshuhdia Afande huyo ambaye ni maarufu kwa jina la Dunga akilanda landa kwenye mtaa ya mji wa Morogoro huku akionekana kama mtu aliyechnganyikiwa.

Picha na habari na Dustan Shekidele(GPL)

Posted by Editor on 10:58. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for BREAKING NUUUUUUZ: ASKARI POLISI AJINYONGA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery